Chorus
Vyote niivvyo navyo, Ulivyo nipea
Umenipendelea
Uhai huu, neema hii
Umenipendelea
Sijivuni kwa chochote, nilichokifanya
Umenipendelea
Afya hii, pumzi hii
Umenipendelea
Verse
Umenipendelea
Umenipendelea
Sio Kwa sababu, ninafunga sana
Umenipendelea
Sio kwa sababu, ninatoa sana
Umenipendelea
Ningekuwa nimekufa, ila neema yako
Umenipendelea
Ningekuwa nimechanganyikiwa, ila neema yako
Umenipendelea
Sio kwa akili zangu mimi
Umenipendelea
Ati kwa sababu ya nguvu nilizo nazo
Umenipendelea
Sio Kwasababu ya, cheo change
Umenipendelea
Sio Kwasababu mimi naweza sana
Bridge
Umenipendelea
Umenipendelea
Umenipendelea(repeat)
Verse
Wangekuwa wanacheka ninachokifanya ila
Umenipendelea
Wangeona naibika, ila neema yako tu
Umenipendelea
Nilikuwa wa kutupwa, ila neema yako tu
Umenipendelea
Afya hii, pumzi hii
Umenipendelea
Uhai huu, neema hii
Umenipendelea
Verse
Nilikuwa sifai ila neema yako tu
Umenipendelea
Nilikuwa si kitu, ila neema yako tu
Umenipendelea
Verse
Wangekuwa wacheka huduma yangu
Umenipendelea
Wangekuwa wanadharau akili yangu
Umenipendelea
Vyote niivvyo navyo, Ulivyo nipea
Umenipendelea
Uhai huu, neema hii
Umenipendelea
Sijivuni kwa chochote, nilichokifanya
Umenipendelea
Afya hii, pumzi hii
Umenipendelea
Sio kwasababu nina akili nyingi,
Umenipendelea
Sio kwasababu ninafaa sana
Umenipendelea
Ningekuwa nimekufa, ila neema yako
Umenipendelea
Ningekuwa nimefeli, ila msaada wako
Ningekuwa nimeshindwa kila kitu
Ila Umenipendelea
Afya hii, pumzi hii
Umenipendelea
Uhai huu, neema hii
Umenipendelea
Umenipendelea(repreat)
Chorus
Vyote niivvyo navyo, Ulivyo nipea
Umenipendelea
Uhai huu, neema hii
Umenipendelea
Sijivuni kwa chochote, nilichokifanya
Umenipendelea
Afya hii, pumzi hii
Umenipendelea