Verse one
Mwokozi wangu ,Nakuhitaji zaidi
Na Moyo wangu , Unalia Uwepo wako
Nimejaribu on my own ,Lakini Siwezi
Nakutegemea Usiniache kamwe
Verse two
Nikiwa bado napumua ,Jina lako ndilo nitajivunia
Tena Sitaki kitu ca kunikataza ,Kuwa chombo chako
Sauti yako ikaniita, vingine vyote mimi nakataa
Nifiche ndani ya mabawa yako, fika mwisho wa safari
Najua kwamba mimi ni wako, Unanipenda tena sana
Nuru yako imenitowa Gizani Sitaogopa kamwe
Chorus
Nitawale Sasa na Hata Milele Bwana
Overpower All of me , the way you truly desire
Natamani kuongozwa, na Mkono wako wenye nguvu
Breath your fresh Air into my heart
Amen – Amen -Amen
YEBO- YEBO Jesu , YEBO – YEBO Jesu
YEBO -YEBO Ngidinga wena
Verse 3
Eeh Mungu nitumikishe ,Katika faida za mbingu
Nisimamie vizuri ,Ufalme wako
Ndani ya Ulimwengu
Najaze nguvu nipambane, Udhaifu wangu uondoe
Nidharau mishale ya machungu adui anayonipiga
Hawa wanataja Magari ,Wengine wanataja mafarasi
Mbali sisi tunalitaja Hilo Jina la bwana x 3
Chorus
Nitawale Sasa na Hata Milele Bwana
Overpower All of me , the way you truly desire
Natamani kuongozwa, na Mkono wako wenye nguvu
Breath your fresh Air into my heart
Amen – Amen -Amen
YEBO- YEBO Jesu , YEBO – YEBO Jesu
YEBO -YEBO Ngidinga wena
Verse four
Najua kwamba mimi ni wako, Unanipenda Tena Sana
Nuru yako imenitowa Gizani Sitaogopa kamwe (repeat)
Hayayaya, Sitaogopa Kamwe,
Bonde la Mauti ,Sitaogopa kamwe,
Sitaogopa, Sitaogopa kamwe
Kwenye shimo la simba.Sitaogopa kamwe
Katika Giza tupu,Sitaogopa kamwe
Ndani ya bahari kuu, sitaogopa kamwe
Chorus
Nitawale Sasa na Hata Milele Bwana
Overpower All of me , the way you truly desire
Natamani kuongozwa, na Mkono wako wenye nguvu
Breath your fresh Air into my heart
Amen – Amen -Amen
YEBO- YEBO Jesu , YEBO – YEBO Jesu
YEBO -YEBO Ngidinga wena(repeat)
Very strongest gospel singers
100% these are powerful sounds