Ametenda, ametenda Mungu
Ametenda, ametenda Mungu
Aaaametenda Ametenda, ametenda ametenda Mungu
Finally, He has done it for me, for me
Kama uliniona jana Iam sorry, sorry
Something has changed, tell me what can you see,
Si ata unaona tabasamu usoni
Ile mambo ya kulia kulia, mi mwenzenu nimewacha
Mambo yamebadilika nimefikiwa
Kweli kwa Mungu hakuna kubahatisha
Natembea kwa ishara na miujiza
Kuna stori f’lani imenifurahisha
Mungu ametenda. Mungu ametenda
Kuna stori f’lani imenifurahisha
Mungu ametenda. Mungu ametenda
Mtake msitake mimi
Nitashuhudia, nitashuhudia, nitashuhudia eeh
Mpende msipende mimi
Nitawapostia, Nitawapostia, Nitawapostia eeh
Maombi yangu yamebadilika sana
Malalamiko mimi nimewacha
Kinywani mwangu nimejawa na shukurani
Nisipokusifu wewe nitamsifu nani
Ona vile umenifanyia, Baba asante
Nisipokusifu wewe nitamsifu nani
Ametenda, ametenda Mungu
Ametenda, ametenda Mungu
Aaaametenda Ametenda, ametenda ametenda Mungu
Ooh mi naimba kwa ujasiri
Maana nimekombolewa
Eeh Bwana, Ametenda, ametenda Mungu
Wala sitaki nijisifu, sitajisifu,
Ni yeye, Ametenda, ametenda Mungu
Ametenda, Ametenda we
Ametenda, Ametenda we
Ametenda, Ametenda we
Ametenda, Ametenda we
Ametenda, Ametenda we
Ametenda, Ametenda we
Ametenda, Ametenda we
Ametenda, Ametenda Mungu
Kuna stori f’lani imenifurahisha
Mungu ametenda. Mungu ametenda
Kuna stori f’lani imenifurahisha
Mungu ametenda. Mungu ametenda
Mtake msitake mimi
Nitashuhudia, nitashuhudia, nitashuhudia eeh
Mpende msipende mimi
Nitawapostia, Nitawapostia, Nitawapostia eeh
Ametenda, ametenda Mungu
Ametenda, ametenda Mungu
Aaaametenda Ametenda, ametenda ametenda Mungu