Kama Ndoto lyrics by Wapendwa Muziki

Ilianza kama ndoto, Katimiza maono

Na kwa mkono wako, tuimbe tumepona

Toka January to December

Kweli Mungu wangu mimi nakupenda

Pendaa

With my heart, I surrender

Fanya vile unapenda (repeat)

We Bwana ah, Tawala na maisha yangu

We Bwana ah, Naomba usiondoke kwangu

We Bwana ah, wewe ndio mkombozi wangu

Ilianza kama ndoto, Katimiza maono

Na kwa mkono wako, tuimbe tumepona

Ilianza kama ndoto, Katimiza maono

Na kwa mkono wako, tuimbe tumepona

Tumepona, tumepona yo yo yo

Wale waliopanga wakasema tutafeli,

Jamani eti sisi tutafeli,

Ahh ah ah, ndio wale

Ahh ah ah, bado wanangoja

Wale waliopanga wakasema tutafeli,

Tutafeli, tutafeli,

Ahh ah ah, ndio wale

Ahh ah ah, bado wanangoja

Ilianza kama ndoto, Katimiza maono

Na kwa mkono wako, tuimbe tumepona

Ilianza kama ndoto, Katimiza maono

Na kwa mkono wako, tuimbe tumepona

Tumepona tumepona eeeh

Bolingo, Bolingo, Bolingo

Bolingo na ngai eh

Bolingo na ngai eh, na ngai eh

Yeh abungisakatee bilakanaye

Yeh abungisakatee bilakanaye

Ilianza kama ndoto, Katimiza maono

Na kwa mkono wako, tuimbe tumepona

Ilianza kama ndoto, Katimiza maono

Na kwa mkono wako, tuimbe tumepona

Wale waliopanga wakasema tutafeli,

Jamani eti sisi tutafeli,

Ahh ah ah, ndio wale

Ahh ah ah, bado wanangoja

Wale waliopanga wakasema tutafeli,

Tutafeli, tutafeli,

Ahh ah ah, ndio wale

Ahh ah ah, bado wanangoja

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *