Nitaishi aje kama mtu
Asiyekujuwa
Usikubali
Na wakati wangu ukifika
Uniite nyumbani
Kama hodari
Na shetani akiomba ruhusa
Aniangamize
Usikubali
Na shetani akiomba ruhusa
Anikandamize
Usikubali
Usikubali
Usikubali
Siogopi kifo
Naogopa kufa na sikujui
Siogopi moto
Sio wangu moto ni wa aadui
Nimependwa na Baba
Baba
Alinifia na Mwana
Mwana
Nimejazwa na Roho
Roho
Baba, Mwana, Roho