Tumeuona eeh Mko wa Bwana eeh
Tumeuona Mko wa Bwana( repeat)
Tumeuona Mko wa Bwana
Tumeuona Mko wa Bwana
Tumeuona Mko wa Bwana
Tumeuona Mko wa Bwana ( repeat)
Amefanya mambo makubwa maishani mwangu
Jinsi nilivvyo ni kwa neema ya Bwana
Shule nafaulu ni kwa neema ya Bwana
Kibali nimepata ni kwa neema ya bwana
Vyote nilivyo navyo ni mkono umenibeba
Mimi nimeuona mkono wa Bwana
Mwenzenu ni shahidi , ya matendo makubwa ya Bwana
Mwenzenu nina ushuhuda, Bwana ametenda
Amenifuta machozi, amerejessha tabasamu
Amenitoa mavumbini, ameniketisha na wakubwa
Tumeuona Mkono wa Bwana
Tumeuona Mko wa Bwana
Tumeuona Mko wa Bwana
Tumeuona Mko wa Bwana
Tumeuona Mko wa Bwana ( repeat)
Amefanya Mambo makubwa siwezi kueleza eeh
Matendo yako ni ya ajabu sana
Amenifuta machozi, amerejessha tabasamu yangu
Matendo yako ni ya ajabu sana
Yale amefanya Kwangu yapita fahamu zangu eeh
Matendo yako ni ya ajabu sana
Yale amefanya kwangu nakosa maneneo ya kusema nalia aah eeh aah eeh aah eeh
Matendo yako ni ya ajabu sana
Yale amefanya kwangu nakosa maneneo ya kusema nalia aah eeh aah eeh aah eeh
Matendo yako ni ya ajabu sana
Acha tukusifu Bwana aah aah aah
Acha tukuinue Bwana aah aah aah(repeat)
Tunaungana na maserafi kukupazia sifa Bwana
Tunaungana na maserafi kukupazia sifa Bwana (repeat)
Acha tukusifu Bwana aah aah aah
Acha tukuinue Bwana aah aah aah(repeat)
Yungula Yungula Yungula
Yungula (repeat)
Yungula aah yungula
Yungula
Chekecha chekecha chekechs
Chekecha (repeat)