Baba we ni Moto, wewe mtakatifu
Wewe ndiwe Mungu pekee
Tena we sauti ukinene nani apinge
Nasema we Sauti, Ukisema ni ndio na amina
Njia ya uzima , kweli na uhai niwe
Utukuzwe Bwana utukuzwe
Utukuzwee Bwana milele
Sifa zako bado zaenea
Utukuzwe
Moyo wangu nauegemeza kwako
Na macdo yangu nakuinulia tena
uhai wangu numeuachilia kwako Baba
Unastahili nakusalaimu, nakusalimu
Utukuzwe Bwana utukuzwe
Utukuzwee Bwana milele
Sifa zako bado zaenea
Utukuzwe
Hallelujah eeeh Hallelujah aaah
Hallelujah eeeh Hallelujah aaah
Utukuzwe Bwana utukuzwe
Utukuzwee Bwana milele
Sifa zako bado zaenea
Utukuzwe
Hallelujah eeeh Hallelujah aaah
Hallelujah eeeh Hallelujah aaah