Wema wako wanishangaza
Uzuri wako wapiti fahamu zangu
Matendo yako nashindwa kueleza
Uaminifu wako wanizidia
Nasujudu miguuni pako
Nashangazwa na uzuri wako
Ninainua mikono juu
Nakisujudu Baba yangu
Nanyenyekea mbele zako
Nakusujudu Baba yangu
Oooh oooooh oooh oooh oohh( repeat)
Ninainua mikono juu
Nakisujudu Baba yangu
Nanyenyekea mbele zako Nakusujudu Baba yangu