unaweza lyrics, by Neema Gospel

Nainua mikono yangu ninasema unaweza

Nainua na macho yangu, ninakiri msaada uko kwako

Bwana nainua mikono yangu ninasema unaweza

Nainua na macho yangu, ninakiri msaada uko kwako

Nainua mikono yangu ninasema unaweza

Nainua na macho yangu, ninakiri msaada uko kwako (repeat)

Bwana nainua mikono yangu nikisema Unaweza

Tena Nainua na macho yangu, ninakiri msaada uko kwako

Msaada wa karibu ni wewe, Mungu wa wokovu ni wewe

Umekuwa maficho yangu, wewe kimbilio langu

Nainua na macho yangu, ninakiri msaada uko kwako

Nainua mikono yangu, ninasema unaweza

Nainua na macho yangu, ninakiri msaada uko kwako (repeat)

Hallelujah, Usifiwe

Hallelujah, wewe ndiwe Mwokozi

Nainua mikono yangu, ninasema unaweza (repeat)