Ni Mkono wako lyrics by Dr. Pyana ft Fay Jonathan

Ni mkono wako, Ni mkono wako
Umeniweka , Mahali pa juu (repeat)

Nimesimama juu ya mwamba, palipo na nafasi
Umeniweka , Mahali pa juu
Umenitenga na Dhoruba, na Dhoruba Bwana
Umeniweka , Mahali pa juu
Niko juu ya Mwamba, Mwamba juu yangu Bwana
Umeniweka , Mahali pa juu
Umenitenga na Dhoruba, na Dhoruba zote

Nimesimama juu ya mwamba, palipo na nafasi Bwana
Umeniweka , Mahali pa juu
Umenitenga na Dhoruba, na Dhoruba Bwana
Umeniweka , Mahali pa juu
Niko juu ya Mwamba, Mwamba juu yangu Bwana
Umeniweka , Mahali pa juu
Na Umenitenga na Dhoruba, na Dhoruba Bwana

Ni mkono wako, Ni mkono wako
Umeniweka , Mahali pa juu (repeat)

Kama si Mkono wako, Mkono wako
ningekuwa wapi
Kama si rehema zako, rehema zako
ningekuwa wapi
Kama si Msalaba wako, Msalaba wako
ningekuwa wapi
Kama si Msalaba wako, Msalaba wako
ningekuwa wapi

Umeniokoa Umeniokoa
Umeniweka mahali pa juu
Umeniinua, Umeniinua
Umeniweka mahali pa juu
Umeniinua, Umeniinua
Umeniweka mahali pa juu

Umeniweka mahali pa juu(repeat)

Ni mkono wako, Ni mkono wako
Umeniweka , Mahali pa juu (repeat)

Mwamba, Yesu Mwamba, acha nitangaze sifa zako(repeat)

Ni mkono wako, Ni mkono wako
Umeniweka , Mahali pa juu (repeat)

Tags: No tags

Add a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *