Mawazo ya moyo Wangu,
Maneno ya Kinywa changu
yapate kibali mbele zako
Verse 1
Neno moja nimelitaka, nalo ndilo nalitafuta
Nikae nyumbani mwako Bwana
Niutazame uzuri wako, ndani ya hekalu lako
Neno moja nimelitaka, nalo nitalitafuta
Nikae nyumbani mwako Bwana
Niutazame uzuri wako, ndani ya hekalu lako
Nipate kibali mbele zako
Chorus
Mawazo ya moyo Wangu,
Maneno ya Kinywa changu
yapate kibali mbele zako
Eee Yesu, eeh Roho
nipate kibali mbele zako