Baba Asante lyrics Kestin Mbogo ft. Pst. Emmanuel Mule

Chorus

Baba asante, Baba asante,

Umenitendea,  Baba asante

Verse

Nashukuru kwa wema wako.

Nashukuru kwa fadhili zako

Rehema zako zimenifuata nyuma,

Kama sio wewe nigekuwa wapi?

Baba asante

Chorus

Baba asante, Baba asante,

Umenitendea,  Baba asante

Verse

Nashukuru kwa wema wako.

Nashukuru kwa fadhili zako

Rehema zako zimeniandama nyuma,

Kama sio wewe nigekuwa wapi?

Baba asante

Nashukuru kwa wema wako.

Nashukuru kwa fadhili zako

Rehema zako zimenifuata nyuma,

Kama sio wewe nigekuwa wapi?

Baba asante

Chorus

Baba asante, Baba asante,

Umenitendea,  Baba asante (repeat)