Nawezaje kunyamaza? (How can I stay silent?
Wakati umefanya (When you have done)
Eeh namna hii (In this way / Like this)
Sijaona namna hii (I’ve not seen such a manner like this )
Nawezaje kutulia? (How can I stay calm?)
Wakati umefanya (When you have done)
Eeh namna hii (In this way / Like this)
Sijaona namna hii (I’ve not seen such a manner like this)
Nawezaje kutulia? (How can I stay calm?) (Repeat)
Mataifa yatetemeka (Nations tremble)
Kwa matendo yako makubwa (Because of Your mighty deeds)
Aiye! Namna hii? (In this way / Like this)
Sijaona namna hii (I’ve not seen such a manner like this)
(Refrain)
Hayi weh! namna hii, sijaona namna hii x?
Nawezaje kutulia? (How can I stay calm?)
Eeh namna hii (In this way / Like this)
Sijaona namna hii (I’ve not seen such a manner like this)
Nawezaje kutulia? (How can I stay calm?)
Nawezaje kunyamaza? (How can I stay silent?)
Wakati umefanya (When you have done)
Eeh namna hii (In this way / Like this)
Sijaona namna hii (I’ve not seen such a manner like this)
Hayi weh! namna hii, sijaona namna hii (Hayi weh, In this way / Like this! I’ve not seen such a manner like this)
We Yesu namna hii, sijaona namna hii (Oh Jesus, In this way / Like this, I’ve not seen such a manner like this)
Mataifa yatetemeka (Nations tremble)
Kwa matendo yako makubwa (Because of Your mighty deeds)
Aiye! Namna hii? (In this way / Like this)
Sijaona namna hii (I’ve not seen such a manner like this) (Repeat)