Chorus
Ananiongezea baraka,
Naiona tofauti ya leo na jana
Ananiongezea baraka,
Huyu ni Mungu, Ni Mungu, ni Mungu wa Baraka
Verse 1
Amenijibu Zaidi ya vile nilivvyo muomba,
Nimemuomba kazi amenipa na ndoa
Nimemuomba Watoto amenipa na gari
Huyu Yesu anazidi Kun’yeshea mvua ya baraka eeh
Apabolinga Apoabolinga eeh apabolinga Yesu ee yoyoyo
Chorus
Ananiongezea baraka
Naiona tofauti ya leo na jana
Ananiongezea baraka
Huyu ni Mungu, Ni Mungu, ni Mungu wa Baraka
Verse 2
Yeye aliyeia- nzisha safari, ataimaliza
Anajua Kupenda, anajua kujali
Anaitwa mwokozi Yesu, Eze Bube
Verse 3
Kanibariki mjini, amanifanyia amani
Kanibariki shambani,amanifanyia amani (x2)
Amenipa na Watoto, amanifanyia amani
Amenipa familia nzuri,amanifanyia amani
amenibariki mjini, amanifanyia amani
Amenibariki nyumani,amanifanyia amani
Amenipa na elimu, amanifanyia amani
Amenipa biashara nzuri, amanifanyia amani
Nikienda Kushoto, yupo
Nikienda Kulia, yupo
Nikienda mbele na nyuma,
Kanizingira pande zote (repeat)
Verse 4
Kanibariki mjini, amanifanyia amani
Amenibariki shambani,amanifanyia amani
Amenibariki mjini, amanifanyia amani
kanibariki shambani,amanifanyia amani
Amenipa familia nzuri,amanifanyia amani
Amenipa Marafiki Wazuri,amanifanyia amani
Huyu Yesu ameniunua
Huyu Yesu amenipa jina mpya
Amenitoa mavumbini na kuniweka juu
Huyu yesu amenifuta machozi
Nikienda Kushoto, yupo
Nikienda Kulia, yupo
Nikienda mbele na nyuma,
Kanizingira pande zote (repeat)