Verse 1
Haja ya moyo wangu, Kilio cha moyo wangu
Tamanio la moyo Wangu ,Ni kuuone, Ni kuuone
Haja ya moyo wangu, Kilio cha Kizazi changu
Tamanio la kanisa lako, Tukuone Tukuone
Haja ya moyo wangu, Kilio cha moyo wangu
Tamanio la moyo Wangu ,Ni kuuone, Ni kuuone
Chorus
Natamani nikuuone, niuuone uso wako
Nikuabudu, nikuabudu
Ohh Yesu, Jina lako Yeeesu
Nakutamani Nakutamani
Verse 2
Kila goti litapigwa, Ndimi zote zitakiri
Kuwa Yesu wewe ni Bwana,Kuwa Yesu wewe ni Bwana
Wewe ni Bwana (Solo)
Wewe ni Bwana
Bridge
Tunanyeyekea, tunavua taji
Ili wewe Bwana, uonekane
Ninanyeyekea, Ninavua taji
Ili wewe Bwana, uonekane
Chorus
Natamani nikuuone, niuuone uso wako
Nikuabudu, nikuabudu
Ohh Yesu, Jina lako Yeeesu
Nakutamani Nakutamani
Bridge
Wewe ni Bwana (Solo)
Wewe ni Bwana
Hayo ni maneno yenye nguvu na matumaini makubwa. Wimbo huu unaonesha upendo na imani kwa Yesu Kristo. Tunaposikiliza maneno haya, tunahisi karibu na Mungu. Ni jambo la kuvutia kujifunza jinsi muziki unaweza kuwa lugha ya pili katika shule. Kwa nini muziki unapaswa kuwa sehemu muhimu ya elimu?
Maneno haya yanasisimua na yanatia moyo. Wimbo huu unaonesha imani na upendo mkubwa kwa Yesu Kristo. Ni vizuri kusikia jinsi muziki unaweza kuwa njia ya kufikia Mungu na kujisikia karibu Naye. Je, unaweza kueleza zaidi jinsi muziki unavyoweza kuimarisha imani yetu na kutuunganisha kama jamii?
Hayo ni maneno yenye nguvu na matumaini makubwa. Wimbo huu unaonesha upendo na imani kwa Yesu Kristo. Tunaposikiliza maneno haya, tunahisi karibu na Mungu. Ni jambo la kuvutia kujifunza jinsi muziki unaweza kuwa lugha ya pili katika shule. Kwa nini muziki unapaswa kuwa sehemu muhimu ya elimu? Maneno haya yanasisimua na yanatia moyo. Wimbo huu unaonesha imani na upendo mkubwa kwa Yesu Kristo. Ni vizuri kusikia jinsi muziki unaweza kuwa njia ya kufikia Mungu na kujisikia karibu Naye. Je, unaweza kueleza zaidi jinsi muziki unavyoweza kuimarisha imani yetu na kutuunganisha kama jamii?