Ni wewe wa kupewa sifa
Ni wewe wa kupewa sifa
Milele Umeshinda milele unaweza
Ni wewe wa kupewa sifa
Ni wewe wa kuinuliwa
Ni wewe wa kuinuliwa
Milele Umeshinda milele unaweza
Ni wewe wa kupewa sifa
Enyi watu wote muimbieni
Yeye mfalme wa ulimwengu
Anapendeza ni muweza
Njooni muone matendo ya Bwana
Anatawala Mataifa yote
Na ameketi pale enzini
Ye anaweza mambo yote
Na hakuna lililo gumu kwake
Ni wewe wa kupewa sifa
Ni wewe wa kupewa sifa
Milele Umeshinda milele unaweza
Ni wewe wa kupewa sifa
Ni wewe wa kupewa sifa
Ni wewe wa kupewa sifa
Milele Umeshinda milele unaweza
Ni wewe wa kupewa sifa
Ni wewe wa kupewa sifa
Ni wewe wa kupewa sifa
Milele Umeshinda milele unaweza
Ni wewe wa kupewa sifa
E Mungu we hakuna kama wewe
E Mungu we, hakuna kama wewe
Milele Umeshinda milele unaweza
Ni wewe wa kupewa sifa
(Agiriama)
Mulungu we Kakuna ere uwe
Mulungu we Kakuna ere uwe
Milele Umeshinda milele unaweza
Ni wewe wa kupewa sifa
(Kisii)
Ayo munene Nyasaye, onde tayo buna ae
Ayo munene Nyasaye, onde tayo buna ae
Milele Umeshinda milele unaweza
Ni wewe wa kupewa sifa
(Kikuyu)
Mwathani E, gutiri ungi tawe
Mwathani E, gutiri ungi tawe
Milele Umeshinda milele unaweza
Ni wewe wa kupewa sifa
(Luo)
E Nyasae, Onge ma chalo kodi
E Nyasae, Onge ma chalo kodi
Milele Umeshinda milele unaweza
Ni wewe wa kupewa sifa
(Kamba)
Mwïaii we, vaie ūngi taku
Mwïaii we, vaie ūngi taku
Milele Umeshinda milele unaweza
Ni wewe wa kupewa sifa
(Lingala)
Nzambe na Ngai, moko te ayo kadi nayo
Nzambe na Ngai, moko te ayo kadi nayo
Milele Umeshinda milele unaweza
Ni wewe wa kupewa sifa