Aah Umetenda, yaliyo makuu
Aaa umefanya
Refrain
Nimwabudu nani sasa, Kama sio Wewe
Umejidhibitisha
Yale umetenda, Hakuna mwanadamu
aweza kudhubutu
Aah Umetenda, yaliyo makuu
Aaa umefanya
Nani angeweza kututoa chini
Kama sio Mungu
Nani angeweza Kutuinua
Kama sio Mungu
Nani angeweza kutupa nafasi hizi
Kama sio Mungu
Nani angeweza Kutuweka juu hapa
Kama sio Mungu
Sio elimu zetu, Sio nguvu zetu
Ni Mkono wa Mungu
Chorus
Nimwabudu nani sasa, Kama sio Wewe
Umejidhibitisha
Yale umetenda, Hakuna mwanadamu
aweza kudhubutu
Aah Umetenda, yaliyo makuu
Aaa umefanya
Wakuabudiwa, Wakuinuliwa,
Yesu ni wewe
Miungu Mingine, ni kazi ya mikono
Wewe niwe Mungu
Aah Umetenda, yaliyo makuu
Aaa umefanya
Kama si neema yako Yesu, tusingekuwa hapa
Imetupa Kibali, imetupa heshima
tusingekuwa hapa
Sio elimu zetu, Sio nguvu zetu
Ni Mkono wa Mungu
Nimwabudu nani sasa, Kama sio Wewe
Umejidhibitisha
Yale umetenda, Hakuna mwanadamu
aweza kudhubutu
Aah Umetenda, yaliyo makuu
Aaa umefanya
Aaaa umetenda
Aaaa Umefanya
Aah Umetenda, yaliyo makuu
Aaa umefanya
Add a Comment